Posted on: July 30th, 2024
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Sheikh Twaha Kilango amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli kwa juhudi zake kwa kushirikiana na wananchi kudumisha amani Wilayani humo.
Akitoa...
Posted on: June 28th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima ameitaka Halmashauri ya wilaya ya Mvomero kubuni vyanzo vya mapato ya ndani kupitia sekta ya kilimo.
Mhe. Malima ametoa kauli hiyo Juni...
Posted on: June 20th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli ametoa wito kwa jamii kushirikiana kupaza sauti ili kukemea vitendo vyote vya ukatili vikiwemo mauaji, ukatili wa kijinsia pamoja na suala la mmomonyoko wa ...