Kitengo hiki kinahusika na mipangilio na ufuatiliaji, bajeti, utafiti na uchambuzi, kupokea. kuhifadhi na kuhifadhi, kutambua na kununua, uhasibu na kudhibiti, kutoa na kupeleka, kutayarisha.
Kitengo cha ugavi kinasimamia manunuzi yote toka idara na vitengo vilivyoko kwenye Halmashauri kitengo hiki kina watumishi ambao wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za manunuzi.
MAJUKUMU
Kushughulikia shughuli zote za manunuzi yote yanayofanywa na halmashauri.
Kuandaa nyaraka za na mikataba na zabuni
Kusaidia majukumu ya Bodi ya zabuni
Kutekeleza maamuzi ya Bodi ya Zabuni
Kuandaa na kupitia orodha ya mahitaji
Kuandaa matangazo ya zabuni
Kutoa mikataba iliyokwisha kusainiwa
Kutunza kumbukumbu za manunuzi
Kutunza orodha au rejesta ya mikataba yote iliyoingiwa
Kuandaa taarifa ya mwezi ya bodi ya zabuni.
Kuandaa mpango wa mahitaji
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.