Idara ya Afya
Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero ina jumla ya vituo vya afya 6,ambavyo ni Mgeta,Mlali,Melela,Mvomero,Chaz na Kibatii,Hospitali 1 Zahanati 49 ambavyo vinamilikiwa na Taasisi mbali mbali kuanzia Serikali kuu pamoja na mashirika ya Dini.
Muhtasariwa Huduma za Afya
HUDUMA |
SERIKALI KUU |
SERIKALI ZA MITAA |
KUJI- TOLEA |
MASHI-RIKA |
BINAFSI KWA FAIDA |
JUMLA |
Hospitali
|
0 |
02 |
0 |
01 |
0 |
01 |
Vituo vya Afya
|
0 |
04 |
0 |
0 |
0 |
06 |
Zahanati
|
0 |
49 |
0 |
0 |
0 |
49 |
JUMLA
|
0 |
55 |
0 |
01 |
0 |
56 |
Katika sekta ya Afya kuna maeneo makuu sita ambayoyanazingatiwa katika kuboresha Afya ya jamii. Maeneo hayo ni kamaifuatavyo:
Vile vile sekta ya Afya imegawanyika katika sehemu mbiliambazo ni Huduma za Tiba za Kinga na usafi wa mazingira.
a) Huduma za Tiba.
Sehemu hii inahusika sana na huduma zifuatazo
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.