MAJUKUMU YA IDARA YA USAFINA MAZINGIRA
Kubainisha na kupendekeza masuala ya Mazingira yanayopaswa kuhuishwa katika mipango ya kisekta naHalmashauri kwa ujumla.
Kusimamia utekelezaji wa mikakatiya matumizi salama ya Teknolojia ya Kisasa (Biosafety).
Kutoa ushauri kuhusu maeneoyaliyoathirika kutokana na shughuli za kiuchumi zisizo endelevu (kama vileuchimbaji wa Madini, Kilimo, Ujenzi, Ufugaji n.k).
Kuratibu miradi mbalimbaliinayohusu usimamizi na Hifadhi ya Mazingira.
Kusimamia matumizi yaRasilimali mbalimbali za Hifadhi ya Mazingira.
Kuchambua na kusambazaTakwimu za Hifadhi za Mazingira.
Kufuatilia na kushauri kuhusuutekelezaji wa mikataba na maazimio ya Kitaifa,Kikanda na Kimataifa kuhusuusimamizi na Hifadhi ya Mazingira
Kupendekeza miradi ya Hifadhiya Mazingira.
Kupitia na kushauri kuhusutaarifa za Tathimini ya Athali za Mazingira (EIA) na mpango mkakati watathimini ya Mazingira(Strategic Environment Assessment)
Kupitia na kushauri kuhusuutekelezaji wa Sera, Sheria ya Mazingira na miongozo na mikakati mbalimbalikuhusu usimamizi na hifadhi ya mazingira.
Kutoa Elimu ya Hifadhi yaMazingira kwa wadau mbalimbali.
Kusimamia Usafi wa mazingirakatika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero
Kutoa taarifa mbalimbali zautekelezaji wa kazi za Idara
Kusimamia wajibu wa haki zawatumishi wote walio katika Idara ya Usafi na Mazingira
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.