Posted on: December 5th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli amewataka wananchi wa Wilaya ya Mvomero kuitumia vizuri hospitali ya Wilaya hiyo kwani ndio hospitali kubwa nayaa kisasa Zaidi kuliko zote ndani ya Wilaya h...
Posted on: December 5th, 2023
Bohari ya Dawa (MSD) tarehe 5/12/2023 imegawa vifaatiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 500 kwa Zahanati, vituo vya afya pamoja na hospitali katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero ikiwa ni kutimiz...
Posted on: November 26th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amefanya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Novemba 24, 2023 katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro.
Akizungumza katika uzin...