Posted on: July 9th, 2025
Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero imepongezwa kwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato kupitia mfumo wa Serikali wa GoT-HoMIS, hatua inayodh...
Posted on: July 2nd, 2025
Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero, Mhe. Maulid Dotto, amekabidhiwa rasmi jukumu la kuendeleza Kampeni ya Tutunzane Mvomero inayolenga kuondoa migogoro ya wafugaji na wakulima pamoja na kuimarisha uchumi ...
Posted on: June 27th, 2025
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Bibi Loema Peter amemkabidhi ofisini Ndg. Paulo Francis Faty ambaye alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita. Ndg. Faty ame...