Posted on: June 13th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewapongeza Wataalam na Waheshimiwa Madiwani kwa ukusanyaji wa mapato yatokanayo na mnada na kueleza kuwa minada hiyo imekuwa ikichangia kiasi kikubw...
Posted on: June 16th, 2023
Siku ya Mtoto wa Afrika ni siku inayoadhimishwa kila mwaka barani Afrika Tarehe 16 juni kuwaenzi mashujaa watoto waliokufa kwa ajili ya kudai haki yao ya kuendelezwa kielimu bila ubaguzi. Hii iliwekwa...
Posted on: June 15th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Morogoro katika kuhakikisha kwamba shughuli na fedha zote zinazoletwa na Serikali zinasimamiwa na kutumika kutokana na...