Posted on: May 12th, 2021
Wakulima wadogo Wilayani Mvomero wametakiwa kutumia fursa ya kilimo cha mazao ya matunda na mbogamboga, pamoja na ufugaji wa kisasa ili kuongeza kipato na kukuza mnyororo wa thamani kwa ajili ya kubor...
Posted on: May 5th, 2021
Mkuu wa Wilaya Mvomero Mh. Albinus Mugonya, leo amekabidhi pikipiki aina ya honda yenye thamani ya shilingi Mil. 4.5 kwa Afisa elimu kata wa kata ya Kweuma iliyopo Tarafa ya Turiani Ndg. Hamisi Iddi H...
Posted on: March 2nd, 2021
Jumla ya kaya 6172 za wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF III) Wilayani Mvomero wamepokea kiasi cha shilingi Mil. 288,888,000/= awamu ya 25 tangu mpango uanze 2015 kutoka serikalini na...