Posted on: October 19th, 2024
DC Mvomero ahamasisha Boda boda, Mama lishe kujiandikisha Daftari la Mkaazi.
Ikiwa zoezi la kujiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga wa Serikali za Mitaa likielekea ukingoni, Mkuu wa Wilaya...
Posted on: October 18th, 2024
Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero imepongeza juhudi za Shirika la SAWA WANAWAKE TANZANIA katika kuboresha miundombinu ya elimu Wilayani humo, Shirika hilo limekuwa likifanya kazi kwa k...
Posted on: October 17th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli amesisitiza kuwa zoezi la kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 halipaswi kuchukuliwa kwa misingi ya dini ...