Posted on: June 16th, 2023
Siku ya Mtoto wa Afrika ni siku inayoadhimishwa kila mwaka barani Afrika Tarehe 16 juni kuwaenzi mashujaa watoto waliokufa kwa ajili ya kudai haki yao ya kuendelezwa kielimu bila ubaguzi. Hii iliwekwa...
Posted on: June 15th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Morogoro katika kuhakikisha kwamba shughuli na fedha zote zinazoletwa na Serikali zinasimamiwa na kutumika kutokana na...
Posted on: June 2nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli amekema vikali wanaotumia fedha za Serikalia vibaya. Ameyasema hayo alipotembelea Shule ya Msingi Lugono na Shule ya Msingi Tangeni ambapo amezitaka Mamlaka...