Posted on: July 26th, 2024
Uwepo wa Kampeni ya Tutunzane Wilayani Mvomero imetajwa kuwa mwarobaini wa kupunguza ama kuondoa kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji hapa nchini.
Kauli hiyo imetolewa Julai 26, 2024...
Posted on: July 25th, 2024
Kuundwa kwa jukwaa la Mnyororo wa thamani wa chakula Wilayani Mvomero kuna tarajiwa kuwa mkombozi wa changamoto za wakulima, wafugaji na wavuvi kwani watakuwa na uwezo wa kupata suluhisho la changamot...
Posted on: July 25th, 2024
Wakulima wa zao la mpunga Wilayani Mvomero wameshauriwa kutumia mbegu bora na zenye zinatija ya uzalishaji ambazo zimefanyiwa utafiti na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI ili kuongeza uzalishaji na ku...