Posted on: September 26th, 2024
Wananchi 240,000 wilayani Mvomero wanatarajiwa kuandikishwa kwenye Orodha ya wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakao fanyika Novemba 27, 2024. Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Judith Nguli a...
Posted on: September 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli amewaonya watumishi Wilayani humo juu ya matumizi mabaya ya mali za umma katika maeneo yao ya kazi kwani kwa kufanya hivyo ni kinyume na sheria, taratibu na...
Posted on: September 17th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Mwl. Linno Mwageni ameipongeza Idara ya Afya katika Halmashauri hiyo kwa kuanza matumizi ya mafumo wa kielektroniki wa ukusanyaji taarifa na map...