Posted on: September 27th, 2024
Wananchi wa Kitongoji cha Majichumvi wametoa shukrani zao kwa Shirika la Rotary kwa msaada mkubwa wa kuimarisha upatikanaji wa maji safi na salama katika kitongoji hicho ambapo shirika hilo limechimba...
Posted on: September 26th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ambaye pia na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Mwl. Linno Mwageni leo Septemba 26, 2024 ametoa maelekezo muhimu kuhusu utaratibu ...
Posted on: September 26th, 2024
Wananchi 240,000 wilayani Mvomero wanatarajiwa kuandikishwa kwenye Orodha ya wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakao fanyika Novemba 27, 2024. Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Judith Nguli a...