Posted on: October 15th, 2024
Wilaya ya Mvomero imeweka mikakati kabambe kukabiliana na vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kuathiri wananchi Wilayani humo hususan wananchi wa Kata ya Mtibwa.
Hayo yamebainishwa Oktoba 15, 2024 n...
Posted on: October 9th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli ameahidi kushughulikia tatizo la mawe makubwa yaliyopo barabara inayounganisha Kijiji cha Lukunguni na Luwale ambayo kwa muda mrefu yamekuwa kikwazo kwa wan...
Posted on: October 8th, 2024
Mkuu wa wilaya ya mvomero, mhe. Judith nguli amesema kuwa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri imekuwa chachu katika kupambana na umaskini na kuimarisha maisha ya wananchi.
akizungumza ...