Posted on: January 14th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh.Albinus Mugonya,amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kujenga nyumba imara na zenye ubora ili kukabiliana na majanga makubwa kama vile mvua,na upepo mkali pindi yanapojitokeza...
Posted on: December 30th, 2020
Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi, Mh. Angelina Mabula amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Hassan Njama kuongeza kasi ya usimamizi wa upimaji wa maeneo ...
Posted on: December 18th, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mhandisi Emmanuel Masasi Kalobelo amewakabidhi CD zenye matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2021. Amewakabidhi m...