Posted on: February 27th, 2025
Waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki katika ngazi ya kituo wamesisitizwa kuwa makini katika uandishi wa majina ya wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili kuepuk...
Posted on: February 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli ameagiza watendaji wa Vijiji kupima maeneo yote ya vijiji ili kuepusha migogoro ya ardhi na uvamizi holela.
Mhe. Nguli ametoa agizl hilo wakati w...
Posted on: February 25th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Februari 25, 2025 imeendesha mafunzo maalum kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vilivyonufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri k...