• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA SEKONDARI YA MONGOLA, MGETA WAPATIWA MICHE 2140 YA MIKARAFUU, DKT. MUSSA AWATAKA KUITUNZA

Posted on: May 13th, 2025

Jumla ya miche 2140 ya mikarafuu imetolewa kwa wanafunzi 214 wa kidato cha kwanza katika Shule za Sekondari za Mongola na Mgeta Wilayani Mvomero ambapo kila mwanafunzi amepewa miche 10 kwenda kupanda katika maeneo yao ikiwa ni njia ya kuwainua kiuchumi na kuwasaidia wanafunzi hao kutimiza ndoto zao za kusoma hadi chuo kikuu.

Zoezi hilo limefanyika Mei 13, 2025 likiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Alhaji Dkt. Mussa Ali Mussa wakati wa ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero inayolenga kuwajengea wanafunzi msingi wa kujitegemea kiuchumi kupitia kilimo cha mikarafuu.

Katibu Tawala huyo amesema Wanafunzi watakaonufaika na kampeni ya "JISOMESHE NA MKARAFUU" Mkoani humo ni wanafunzi wa kidato cha kwanza wa kila mwaka watapewa miche hiyo ili kuwawezesha wanafunzi hao kujikwamua kiuchumi pamoja na kuweza kulipa ada za shule na chuo watakapofika elimu ya juu hivyo kutokuwa tegemezi kwa wazazi wao ama mikopo inayotolewa na Serikali.

"Karafuu ina matumizi mengi, na ikitunzwa vizuri, inaweza kuwa msaada mkubwa kwa maisha ya baadaye ya hawa watoto, Tunawalea vijana watakaojitegemea," amesema Dkt. Mussa

Sambamba na hayo, Dkt. Mussa amewaelekeza walimu na jamii kwa ujumla kupanda miche ya zao la mikarafuu katika maeneo ya shule na hata nyumbani, ili kuendeleza utamaduni wa kutumia rasilimali kilimo kama nyenzo ya kukuza elimu na kupambana na umasikini.

Pamoja na ugawaji huo wa miche, wanafunzi wamepatiwa elimu ya utunzaji wa miche hiyo, ikiwemo kuchagua maeneo sahihi ya kupanda, kuitunza kwa maji na mbolea na kujifunza umuhimu wa kuvumilia hadi kipindi cha kuvuna zao hilo.

MWISHO

Matangazo

  • MAJINA YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR KIT OPERATORS. February 22, 2025
  • Majina ya Waandishi wasaidizi na BVR KIT Operators February 22, 2025
  • Kuitwa Kwenye Usahili Nafasi Ya Mtendaji Wa Kijiji,Mtunza Kumbukumbu,Afisa Hesabu Msaidizi,Dereva wa Ambulance na Katibu Muhtasi. October 12, 2021
  • TENDER MVOMERO May 28, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WITO UMETOLEWA KWA WADAU, SERIKALI KUONGEZA JUHUDI KATIKA UTOAJI ELIMU YA HEDHI SALAMA VIJIJINI

    May 28, 2025
  • WAHE. MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA WATEMBELEA MVOMERO KUJIFUNZA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI UNAVYOWAKOMBOA WAKULIMA WA KAKAO

    May 24, 2025
  • MVOMERO KUUZA UFUTA KUPITIA STAKABADHI GHALANI KUANZIA MEI 20, 2025

    May 16, 2025
  • MKURUGENZI INEC AWASISITIZA WAANDHISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI NGAZI YA KITUO KUZINGATIA MUDA WA KUFUNGUA VITUO VYA KUANDIKISHA WAPIGA KURA

    May 14, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.