Mkurugenzi mtendaji akifafanua maendeleo ya ujenzi wa shule ya sekondari ya kumbukumbu ya Sokoine
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mwalimu Mohamed Utaly akiongoza zoezi la uteketezaji wa Bangi katika kijiji cha Sewe Kipera,kata ya Doma leo tarehe 24/04/2017 jumla ya ekari sabini (70) ziliteketezwa na alitoa amri kwa wanachi wote kushiriki kilimo cha mazao ambayo yapo kisheria.
wananchi wakishiriki mazoezi pamoja na watumishi wote wa Mvomero wakiongozwa na Mkurugenzi pamoja na Mkuu wa wilaya
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.