Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Mvomero Ndg. Florent .L. Kyombo akitoa neno juu ya uhamasishaji kwa Jamii kujitokeza kupima afya zao na kujitambua .Pia aliweza kuwatambulisha Watumishi wa Wilaya na Mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo yanashirikiana na Halimashauri ya wilaya ya Mvomero katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa jamii .Mbele ya Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr.Kebwe S Kebwe .
Uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake Mvomero Tarehe 25.05.2017
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.