• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

WAZIRI TAMISEMI AMSHUKURU RAIS SAMIA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO, AWATAKA WAKURUGENZI KUSIMAMIA KIKAMILIFU

Posted on: January 17th, 2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini, akisema hatua hiyo imeleta chachu kubwa ya kuboresha huduma za kijamii na kuchochea maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Prof. Shemdoe ameyasema hayo Januari 17, 2026 katika kikao ambacho kimewakutanisha Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro akiwemo Mkuu wa Mkoa huo, Katibu Tawala Mkoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala wasaidizi, Wenyeviti wa Halmashauri, pamoja na Wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri za Mkoa wa Morogoro katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Morogoro

Waziri huyo amesema Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo inawagusa moja kwa moja wananchi wake akitolea mfano fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 30 zimetolewa kwa ajili ya mradi wa barabara, kituo cha mabasi, shule na hospitali kwa wilaya ya Morogoro pekee,

"...kwa leo nimetembelea miradi ya bilioni 39 na nusu kwa wilaya moja ya Morogoro ni fedha nyingi tunapaswa kumshukuru sana Mhe. Rais..." amesema Prof. Shemdoe.

Aidha huku ametoa agizo kwa Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuhakikisha kuwa fedha zinazotolewa na Serikali zinapaswa kusimamiwa kwa uadilifu, uwazi na weledi ili kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa wakati, kwa viwango vilivyokusudiwa na kuleta tija kwa wananchi waliokusudiwa kunufaika.


Naye, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amemuhakikishia Waziri huyo wa TAMISEMI kuwa Mkoa umejipanga kuhakikisha wanaimarisha mifumo ya usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ili kuondoa mianya ya ubadhirifu na uzembe.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Morogoro Mhe. Sebastian Waryuba kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wameahidi kuyafanyia kazi maelekezo yaliyotolewa, wakiahidi kusimamia ipasavyo fedha za miradi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 14, 2025
  • MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALIOITWA KWENYE USAILI OKTOBA 17, 2025 October 14, 2025
  • MAJINA YA RESERVE WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WANAOTAKIWA KWENYE USAILI KATIKA KATA October 14, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MIPANGO, BAJETI ZA HALMASHAURI ZIENDANE NA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 - RC MALIMA

    January 27, 2026
  • DC MVOMERO ALIPONGEZA SHIRIKA LA SAWA KUJENGA MADARASA YA SHULE SHIKIZI, AAGIZA MCHAKATO WA USAJILI UANZE MARA MOJA

    January 23, 2026
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA ZA AFYA, ELIMU

    January 22, 2026
  • WAZAZI/WALEZI WAELIMISHWE JUU YA UMUHIM WA CHAKULA SHULENI ILI WAHAMASIKE KUCHANGIA

    January 19, 2026
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.