Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martin Chigera leo amefanya Ziara ya kikazi Wilayani Mvomero kukagua zoezi la kuweka miundombinu katika zoezi la anwani za makazi katika maeneo ya kata ya dakawa na wilaya kwa ujumla.
Mkuu wa mkoa amepongeza uongozi wa wilaya chini ya mh mkuu wa wilaya Hakuma Okash kwa kusimama zoezi hilo na hatimaye kufanikiaha kwa kiwango cha hali ya juu.
Pia katika Ziara hiyo mh mkuu wa mkoa amefanikiwa kufanya mkutano wa hadhara na kufanikiaha kusikiliza na kutatua kero za wananchi zilizojitokeza.
Miongoni mwa kero hizo ni za migogoro ya aridhi,afya,elimu,ujenzi na maendeleo ya jamii
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.