Katibu Tawala Wilaya ya Mvomero Bw. Said Nguya amewataka waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero kutumia muda mwingi kuwasikiliza wananchi katika maeneo yao lengo ni kuhakikisha kuwa wanawahudumia wananchi hao.
Ameyasema hayo Disemba 5, 2025 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Baraza la Madiwani iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.