• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

DC NGULI ATIMIZA AHADI YA KUGHARAMIA MATIBABU YA KIJANA RAMADHANI MOHAMED

Posted on: April 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli, ametimiza ahadi yake ya kugharamia matibabu ya kijana Ramadhani Mohamed (20) mkazi wa Kichangani katika Tarafa ya Turiani ambaye amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya mguu kwa muda mrefu.

Akizungumza leo Aprili 28, 2025 wakati akikabidhi fedha kiasi cha shilingi laki 8 huku akishuhudia kijana huyo akipelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mvomero kwa ajili ya kuanza matibabu ya awali, DC Nguli amesema kuwa Serikali ina dhamira ya dhati ya kuhakikisha wananchi wote, hususan vijana, wanapata huduma bora za afya bila vikwazo.

"...kama Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Serikali ilichukua changamoto hile na kuipeleka Serikalini...tunamshukuru Mhe. Rais kwa namna ambavyo ametusaidia katika kuhakikisha anatoa matibabu ya mtoto huyu Ramadhani Mohamed..." amesema Mhe. Nguli.

Mkuu huyo wa Wilaya amesema kuwa hatua hiyo inaonesha dhamira dhati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwahudumia wananchi kwa vitendo, hasa katika sekta muhimu kama afya.


Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya amewashukuru wadau mbalimbali wakiwemo SAT ambao wamechangia kiasi cha shilingi laki 8 kwa ajili ya kufanikisha matibabu ya mtoto huyo ambapo kiasi cha shilingi laki tano na ishirini itatumika kwa ajili ya bima na kiasi kinachobakia kwa ajili ya gharama nyingine za matibabu.


Ameongeza kuwa kijana huyo ataanza kuhudumiwa na Hospitali ya Wilaya wakati wakisubiri Kambi ya madaktari bingwa wa Mama Samia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambayo inatarajiwa kuanza tarehe 5 hadi 16 mwezi Mei 2025.


Ramadhani Mohamed, ambaye anasumbuliwa na matatizo ya mguu wa kulia alikosa uwezo wa kifedha wa kupata huduma maalum za matibabu hivyo Mhe. Judith Nguli alichukua jukumu la kumsaidia baada ya kuguswa na hali yake katika moja ya mikutano ya hadhara.


Akitoa neno la shukrani kwa Serikali Baba mkubwa wa kijana Ramadhani Bw. Amini Juma Hussein Mkazi wa Kichangani, Tarafa ya Turiani ameishukuru Serikali Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanikisha matibabu ya kijana huyo.

Matangazo

  • MAJINA YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR KIT OPERATORS. February 22, 2025
  • Majina ya Waandishi wasaidizi na BVR KIT Operators February 22, 2025
  • Kuitwa Kwenye Usahili Nafasi Ya Mtendaji Wa Kijiji,Mtunza Kumbukumbu,Afisa Hesabu Msaidizi,Dereva wa Ambulance na Katibu Muhtasi. October 12, 2021
  • TENDER MVOMERO May 28, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MVOMERO KUENDELEZA KASI YA UKUSANYAJI MAPATO KUPITIA GoT-HoMIS KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA

    May 09, 2025
  • MOROGORO YAJA NA MKAKATI KUSHUGHULIKIA MADAI YA WAFANYAKAZI

    May 01, 2025
  • DC NGULI ATIMIZA AHADI YA KUGHARAMIA MATIBABU YA KIJANA RAMADHANI MOHAMED

    April 28, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUWAPUUZA WANAOCHOCHEA UVUNJIFU WA AMANI

    April 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.