Kupata hati ya mshahara fungua kivinjari (kama vile google chrome,Internet explorer au Mozilla),kisha andika,ikifunguka ina chaguzi mbili ya kwanza ni kuingia (kwa mwenye akaunt) au kujisajili kwa mtumiaji wa mara ya kwanza.Taarifa muhimu ili kujisajili ni lazima uwe na Vote code,sub vote,check namba,akaunti ya benki mshahara unakopitia,tarehe ya kuzaliwa,ngazi ya mshahara,barua pepe,na namba ya simu,majina sahihi kama yanavyosomeka kwenye taarifa zako za kiutumishi. Vote Code ya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero ni 79K5 sub vote inategemeana na idara uliyopo mfano kwa elimu sekondari ni 5008,Kujisajili bofya hapa https://salaryslip.mof.go.tz Au http://watumishiportal.utumishi.go.tz/
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.