• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

Sheria

 

KITENGO CHA SHERIA

Kitengo cha Sheria ni mojawapo ya kitengo kati ya Vitengo sita vinavyopatikana katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.

Majukumu ya kitengo cha sheria

  1. Kutoa tafsiri za sheria, kanuni na miongozo mbalimbali kwa masuala yote yahusuyo sheria kwa Halmashauri ya Wilaya na Idara zake;
  2. Kusimamia na kuendesha mashauri (kesi) yote ya Halmashauri ya Wilaya yaliyopo mahakamani
  3. Kupitia rasimu za mikataba inayotarajiwa kuingiwa na Halmashauri ya Wilaya na kutoa ushauri utakaolinda maslahi mapana  ya Halmashauri katika mikataba hiyo;
  4. Kuishauri Halmashauri ya Wilaya maeneo yanayotakiwa kuundiwa Sheria ndogo;
  5. Kuandaa Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na sekta/Idara husika;
  6. Kusimamia uundwaji na utekelezaji wa mabaraza ya kata kwa kutoa mafunzo kwa wajumbe wa mabaraza hayo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya;
  7. Kushauri na kusaidia utatuzi wa migogoro ya Ardhi katika eneo la Halmashauri ya Wilaya;
  8. Kutoa msaada na ushauri wa kisheria kwa serikali za vijiji vilivyo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya;
  9. Kushauri Halmashauri ya Wilaya katika usimamizi na utekelezaji wa mikataba ya Halmashauri ya Wilaya;

Matangazo

  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. June 10, 2019
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2019. December 18, 2018
  • Walioitwa kwenye Usaili Nafasi ya Data Clerk December 19, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI LEO 6/09/2017 September 06, 2017
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Makabidhiano ya Hati

    March 21, 2019
  • Mkuu wa Wilaya akabidhi vitambulisho 10,000 kwa Wafanya Biashara Wadogo Wilayani Mvomero.

    February 14, 2019
  • Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa Wilaya Akagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi

    November 06, 2018
  • UKARABATI WA KITUO CHA AFYA KIBATI WAKARIBIA KUKAMILIKA

    September 13, 2018
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.