Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mhandisi Emmanuel Masasi Kalobelo amewakabidhi CD zenye matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2021. Amewakabidhi matokeo hayo katika kikao kazi kilichofanyika tarehe 18/12.2020 katika ukumbi was st. Francis uliopo kihonda Manispaa ya Morogoro. Picha ni mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mvomero Ndugu. Hassan N.Hassan akipokea CD ya matokeo ya wanafunzi wa wilaya yake waliochaguliwa kujiunga katika shule mbalimbali za vipaji, ufundi, shule za bweni na shule za kutwa.
Ili kuona wanafunzi waliochaguliwa tembelea sehemu ya matangazo.
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.