Meneja wa TRA Wilayani Mvomero akieleza kwa watendaji wa vijiji na kata juu ya wajasiriamali wanaostahili kupewa vitambulisho
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akitoa maelekezo juu ya ugawaji wa vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
Kasha la vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
Mratibu wa iCHF Wilayani Mvomero Ndug. Janeth Shishila akijitambulisha kwa Watendaji wa Vijiji na kutoa maelekezo juu ya usimamizi wa iCHF kwa Maafisa waandikishaji katika vijiji vyao.
Msimamizi wa iCHF Tarafa ya Turiani Wilayani Mvomero Ndug. Charles Masai akijitambulisha kwa Watendaji wa Kata na Vijiji.
Mkurugenzi Mtendaji Ndug. Florent Kyombo (Kulia) akitoa maelekezo kuhusu sifa na vigezo vya kugawa vitambulisho vya wajasiriamali wadogo.
Msimamizi wa iCHF Tarafa ya Mgeta Wilayani Mvomero Ndug. Goodluck Tarimo akijitambulisha kwa Watendaji wa Kata na Vijiji.
Msimamizi wa iCHF Tarafa ya Mlali Wilayani Mvomero Ndug. Safia Suleiman akijitambulisha kwa Watendaji wa Kata na Vijiji.
Watendaji wa Kata na Vijiji katika kikao cha kujadili Fursa, Changamoto na Utatuzi katika masuala ya Mapato, iCHF na Vitambulisho vya wajasiiamali wadogo
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.