• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

WAZIRI WA TAMISEMI MH.SULEMAN JAFO ATEMBELEA WILAYA YA MVOMERO

Posted on: December 11th, 2017

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa Mh.Suleman Jafo (MB) leo 11/12/2017 amefanya ziara Wilayani Mvomero na kukagua miradi ya maendeleo ikiwamo Hospitali ya Wilaya,Kituo cha kilimo na mifugo,Shule ya Sekondari ya Kumbukumbu ya Sokoine na Sikimu ya Umwagiliaji ya Wami Luhindo .

Akizungumza na waandishi wa Habari katika majumuisho ya ziara Mh.Suleman Jafo amesema ''Nimefurahishwa mno na hali ya usimamizi wa miradi uliofanywa na Watendaji wa Halmashauri ya  Wilaya ya Mvomero na kumtaka katibu Tawala wa Mkoa kuwaambia Wilaya nyingine waje wajifunze Mvomero''

Jafo alisema hayo alipofanya ziara ya kikazi wilayani hapa ambapo alifanikiwa kutembelea miradi mbalimbali ikiwa ni ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,Shule ya Sekondari ya Kumbukumbu ya ya sokoine,Kituo cha Kilimo na Mifugo,ujenzi wa barabara ya lami pamoja na Sikimu ya umwagiliaji ya Wami Luhindo.

Katika ziara hiyo Mh.Jafo ameagiza  kuanza kutoa huduma ya matibabu kwa wagonjwa katika hospitali ya Wilaya ya Mvomero,ifikapo tarehe 13/12/2017 wakati serikali ikitafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa jengo la upasuaji,Maabara,Wodi ya watoto na Majengo mengine ambayo yatagharimu zaidi ya Shilingi milioni mia saba za kitanzania (700,000,000) ambazo zitakamilisha ujenzi huo hadi kufikia mwaka 2018.

Pia Mh.Jafo ameagiza kuongezeka kasi ya kukamilisha madarasa,bwalo la chakula na mabweni katika shule ya sekondari ya Kumbukumbu ya Sokoine kabla ya mwezi Aprili 2018 ili shule hiyo ianze kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 14, 2025
  • MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALIOITWA KWENYE USAILI OKTOBA 17, 2025 October 14, 2025
  • MAJINA YA RESERVE WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WANAOTAKIWA KWENYE USAILI KATIKA KATA October 14, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MVOMERO YAWEKA MIKAKATI YA KUFANYA VIZURI KATIKA KIPENGERE CHA USAFI WA MAZINGIRA

    August 20, 2025
  • ZOEZI LA UTOAJI FOMU ZA UTEUZI LAENDELEA KUSHIKA KASI

    August 20, 2025
  • UTOAJI WA FOMU ZA UTEUZI

    August 19, 2025
  • DC MAULID DOTTO AAHIDI KUTAFUTA ENEO KWA AJILI YA MASHINDANO YA MAGARI

    August 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.