• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

WAHESHIMIWA MADIWANI WATAKIWA KUELEKEZA MACHO KATIKA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: January 9th, 2026

Waheshimiwa Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero wametakiwa kuongeza kasi ya ufuatiliaji na usimamizi wa karibu wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao ili kuhakikisha inatekelezwa kwa ubora, kwa wakati na kwa kuzingatia thamani ya fedha (Value for money) inayotolewa.

Wito huo umetolewa Januari 9, 2026 na Katibu Tawala Wilaya ya Mvomero Ndg. Said Nguya wakati akifungua rasmi mafunzo elekezi kwa Waheshimiwa Madiwani ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo ambayo yanafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Katibu Tawala huyo ameeleza kuwa madiwani wana nafasi muhimu ya kusimamia miradi hiyo kwa kuwa inatekelezwa katika maeneo yao akiongeza kuwa ufuatiliaji wa karibu wa miradi utasaidia kubaini changamoto mapema na kuzitatua kwa wakati na kuzuia ubadhirifu wa fedha za umma unaoweza kujitokeza, sambamba na kuongeza uwajibikaji kwa wakandarasi na wasimamizi wa miradi.


“...niwaombe sana miradi inayotekelezwa kule kwenye maeneo yenu sisi ndiyo tuwe jicho la kwanza kabla ofisi ya Mkuu wa Wilaya na usalama haijakwenda kugundua mapungufu ambayo yapo kwenye mradi...” amesema Katibu Tawala.


Aidha, Katibu Twala huyo amewahimiza kushirikiana kwa karibu na Wataalam wa Halmashauri, watendaji wa kata na vijiji huku akiwasisitiza kuepuka migogoro isiyo na lazima.


Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Mhe. Koila Korman Majuka ameishukuru Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuruhusu madiwani hao kupata mafunzo ambayo yatasaidia kuwaletea maendeleo wanamvomero.


Naye, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ameeleza kuwa mafunzo hayo ya siku tatu yanatarajiwa kuhitimishwa Januari 10 akiongeza kuwa mada mbalimbali zitatolewa ambazo zitawasaidia waheshimiwa madiwani kutekeleza majukumu yao.


MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 14, 2025
  • MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALIOITWA KWENYE USAILI OKTOBA 17, 2025 October 14, 2025
  • MAJINA YA RESERVE WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WANAOTAKIWA KWENYE USAILI KATIKA KATA October 14, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI WILAYA YA MVOMERO WAJITOKEZA KUCHANGAMKIA FURSA

    February 13, 2026
  • RAIS SAMIA ALIAHIDI NA AMETEKELEZA: WANANCHI 9,254 MVOMERO KUNUFAIKA BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA

    February 13, 2026
  • KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI WILAYA (DCC)

    February 12, 2026
  • SERIKALI YACHUKUA HATUA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA DOMA, DC DOTTO ATAKA WANANCHI WALIO KATIKA ENEO LA MGOGORO KUTAMBULIWA

    February 11, 2026
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.