• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI WILAYA YA MVOMERO WAJITOKEZA KUCHANGAMKIA FURSA

Posted on: February 13th, 2026

Waandaaji wa maudhui mtandaoni katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero wamejitokeza kuchukua fomu za usajili ili waweze kutambulika na kupata fursa za mikopo zilizotangazwa na Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.

Akitangaza fursa hiyo Januari 30, 2026 jijini Dodoma Mhe. Makonda amesema Wizara hiyo imepatiwa kiasi cha Sh. Bilioni 2 itakayowawezesha watengeneza maudhui mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya kidigitali.

Wakiongea baada ya kukabidhiwa fomu za usajili na Afisa Mawasiliano Serikalini wa Halmashauri, waandaaji hao wameishukuru Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwasajili na kuwatambua na kushauri watengeneza maudhui wachangamkie fursa hii wajitokeze kuchukua fomu ili waweze kuboresha kazi zao.

Zoezi la uchukuaji wa fomu limeanza Januari 30, 2026 na litakamilika Februari 15, 2026, ambapo watengeneza maudhui wanatakiwa kufika Ofisi za Halmashauri Kitengo cha Mawasiliano Serikali zikiainisha taarifa binafsi na shughuli wanazofanya.


MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 14, 2025
  • MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALIOITWA KWENYE USAILI OKTOBA 17, 2025 October 14, 2025
  • MAJINA YA RESERVE WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WANAOTAKIWA KWENYE USAILI KATIKA KATA October 14, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI WILAYA YA MVOMERO WAJITOKEZA KUCHANGAMKIA FURSA

    February 13, 2026
  • RAIS SAMIA ALIAHIDI NA AMETEKELEZA: WANANCHI 9,254 MVOMERO KUNUFAIKA BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA

    February 13, 2026
  • KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI WILAYA (DCC)

    February 12, 2026
  • SERIKALI YACHUKUA HATUA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA DOMA, DC DOTTO ATAKA WANANCHI WALIO KATIKA ENEO LA MGOGORO KUTAMBULIWA

    February 11, 2026
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.