• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

Utekelezaji Mfumo wa Anwani za Makazi

Posted on: March 5th, 2022

Timu ya Kamati ya Anwani za Makazi Wilaya ya Mvomero imefanya uwezeshaji katika ngazi ya Kata, Vijiji na Vitongozi kuelimisha wajumbe mbalimbali juu ya utekelezaji wa Mfumo wa Anwani za Makazi katika Tarafa nne za Halmashauri ya Wilaya hiyo.

Mfumo wa Anwani za Makazi ambao ni utambulisho wa mahali kitu/mtu anapopatikana juu ya uso wa nchi, unalenga kurahisha upatikanaji na upelekaji wa huduma za kijamii na kuiwezesha Serikali kuwafikia wananchi popote walipo nchini. Mfumo huo unaoratibiwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari unatarajiwa kukamilika ifikapo Mei 22 nchini kote ikiwa ni maagizo ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Timu ya Uratibu Wilaya imejigawa katika Tarafa 4 za Mlali,Mgeta, Mvomero na Turiani ,shughuli inayoendelea ni kufanya vikao na viongozi wa  Baraza la Maendeleo la Kata,Watendaji wa Vijiji,Wenyeviti wa vijiji na Wenyeviti wa Vitongoji ikiwa ni hatua ya kufanya uhamasishaji kwa jamii wajue zoezi lililoko mbele yetu.Ikiwa ni agizo la Mhe.Rais la kuhakikisha wananchi wanashirikishwa katika zoezi hili kwani utawafanya kuwa mabalozi wazuri na imara na walinzi kulinda mitaa yao, na miundombinu  ambayo inatarajiwa kuwekwa.

Tayari nafasi 687 zimetangazwa kwa vijana watakaojengewa uwezo na kusaidia kuingiza taarifa kwenye programu tumizi ya NaPA ambayo itahifahi taarifa hizo ili baadae iwe rahisi kufanya ufuatiliaji wa barabara, mitaa na nyumba  ambazo vibao na nguzo zitabandikwa katika ukamilishaji wa zoezi hili.

Matangazo

  • Kuitwa Kwenye Mafunzo Anwani za Makazi March 16, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUKUSANYA MAPATO MVOMERO March 26, 2022
  • Tangazo la Usaili wa Mahojiano Utakaofanyika 21/10/2021 October 20, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA ANWANI ZA MAKAZI February 18, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Utekelezaji Mfumo wa Anwani za Makazi

    March 05, 2022
  • MKUU WA WILAYA AKABIDHI PIKIPIKI KWA KIKUNDI CHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

    September 22, 2021
  • MKUU WA WILAYA ATOA AGIZO KWA UONGOZI WA KATA YA MLALI KUUNDA CHOMBO CHA WATUMIAJI MAJI NDANI YA JAMII

    August 20, 2021
  • MKURUGENZI AMEWATAKA WALIMU WAKUU KUWASILISHA MICHANGO YA UMITASHUMTA KABLA YA MEI 28

    May 26, 2021
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.