• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

SIKU YA USAFI KITAIFA

Posted on: October 2nd, 2017

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Raisi - Muungano na Mazingira Mheshimiwa Luhaga Mpina ameshiriki usafi na wananchi wa Wilaya ya Mvomero akiwemo Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mohamed Utaly pamoja na watendaji na watumishi waliomo kwenye Wilaya hiyo Jumamosi ya Tarehe 30 mwezi wa Septemba .

Mheshimiwa Luhaga alishiriki zoezi hilo kwenye eneo  linaloizunguka Hospitali Kuu ya Wilaya hiyo ambayo inategemea kuzindukiwa hivi karibuni kuhudumia wananchi wa Mvomero ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipata adha ya huduma za kiafya na kimatibabu.

Amepongeza jitihada zinazofanywa na uongozi wa Wilaya hiyo ukiongoza na Mkuu wa Wilaya pamoja na Mkurugenzo Mtendaji na kuhimiza upandaji wa miti huku akihimiza mamlaka husika zisimamie zoezi hilo.

Amewataka wananchi kuunga mkono mpango wa Raisi Dkt. John Pombe Magufuli wa kushiriki usafi kila Jumamosi na zaidi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi kuweka mazingira safi ili kujiepusha na magonjwa ya mlipuko pia kutunza afya za wananchi.

Hata hivyo Mheshimiwa Mpina amehoji ni kwa nini wananchi bado wanalegalega kuunga mkono jitihada za Raisi kuwataka washiriki usafi na pia kuhoji kwa nini hatua hazichukuliwi dhidi ya wananchi wanaozembea kufuata agizo hili.

Vilevile amewapa salamu kutoka kwa Raisi Dokta John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa pamoja na Makamu wa Raisi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya kuwataka kushiriki usafi na kwamba wanatambua kama Naibu Waziri leo yupo Mvomero.

Kwa  upande wake Mkuu wa wilaya hiyo Mheshimiwa Mohamed Utaly amewashukuru wananchi pamoja na watendaji walioshiriki kwenye zoezi hilo na kuwataka kushiriki kikamilifu katika kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Raisi katika kufanya usafi na kutunza mazingira.

Naye Afisa Mazingira wa Wilaya hiyo Habib Ismail alitoa taarifa ya hali ya usafi na mazingira wilayani humo na kuwaasa wananchi kuzingatia kanuni za usafi na mazingira na vilevile kukazia kilichozungumzwa hapo awali na waliomtangulia.

Matangazo

  • MAJINA YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR KIT OPERATORS. February 22, 2025
  • Majina ya Waandishi wasaidizi na BVR KIT Operators February 22, 2025
  • Kuitwa Kwenye Usahili Nafasi Ya Mtendaji Wa Kijiji,Mtunza Kumbukumbu,Afisa Hesabu Msaidizi,Dereva wa Ambulance na Katibu Muhtasi. October 12, 2021
  • TENDER MVOMERO May 28, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MVOMERO KUENDELEZA KASI YA UKUSANYAJI MAPATO KUPITIA GoT-HoMIS KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA

    May 09, 2025
  • MOROGORO YAJA NA MKAKATI KUSHUGHULIKIA MADAI YA WAFANYAKAZI

    May 01, 2025
  • DC NGULI ATIMIZA AHADI YA KUGHARAMIA MATIBABU YA KIJANA RAMADHANI MOHAMED

    April 28, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUWAPUUZA WANAOCHOCHEA UVUNJIFU WA AMANI

    April 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.