Mwenge wa Uhuru umepokelewa katika Wilaya ya Mvomero eneo la Sangasanga Mzumbe tarehe 13.04.2025 kutoka Manispaa ya Morogoro na kukimbizwa umbali wa kilomita 98 katika Tarafa ya Mlali Kata 4 kati ya kata 30 na Vijiji 11 kati ya Vijiji 130 vya Halmashauri na umepita katika miradi 7 yenye thamani ya TShs. Bilioni 1.06 .
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.