• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

Mhe. Mkuu wa Wilaya afanya ziara Kijiji cha Kunke kusikiliza kero za wananchi

Posted on: August 4th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Halima Okash akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Ndg. Phillipina Phillipo, leo wamefanya ziara ya kikazi katika Kijiji Cha Kunke kilichopo Kata ya Mtibwa Tarafa ya Turiani kwa lengo la kutatua kero za Wananchi zilizojitokeza kijijini hapo .

Miongoni mwa Kero hizo ni pamoja baadhi ya Wafugaji kuingiza mifugo katika mashamba ya ya wakulima kinyume na taratibu na kusababisha mifugo hiyo kushambulia mazao ya wakulima.

Mkuu huyo wa Wilaya ameliagiza jeshi la polisi Wilayani humo kuhakikisha wanafanya doria za mara kwa mara ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima kati ya pande hizo mbili .

Aidha Mhe. Halima Okash amewataka wanakijiji hao kufuata mpango wa matumizi bora ya ardhi uliopangwa katika maeneo hayo na kuwataka wale wote waliowauzia wafugaji maeneo kuhakikisha wanayarejesha na kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima.

Pia Mkuu huyo wa Wilaya ameagiza wale wote walioacha mashamba yao kuwa mashamba-pori kuhakikisha wanayasafisha hayo na kuyatumia kwa malengo yaliyokusudiwa kwani kuyaacha hivyo ndio chanzo wafugaji kuyatumia kwa ajili ya malisho.

Matangazo

  • VIGEZO VYA MASHARTI YA ASILIMIA 10 ZA FEDHA YATOKANAYO NA MAPATO YA NDANI September 16, 2022
  • Tangazo la Usaili wa Mahojiano Utakaofanyika 21/10/2021 October 20, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA ANWANI ZA MAKAZI February 18, 2022
  • TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI MFUMO ANWANI ZA MAKAZI March 07, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WANANCHI MVOMERO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

    January 05, 2023
  • Watumishi wa Mvomero wajumuika kufanya usafi Eneo la Hospitali ya Wilaya

    December 07, 2022
  • Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro aagiza Wananchi kuondoka katika eneo la Msitu wa Kuni.

    November 26, 2022
  • Mradi wa Mkaa Endelevu Ulivyobadili Maisha Ya Wananchi Wa Wilaya ya Mvomero

    November 21, 2022
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.