• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

Mhe. Jaffo Afanya Ziara Mvomero

Posted on: June 23rd, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ) Mh Jenista Mhagama ,Jana amefanya ziara ya kikazi Wilayani Mvomero kukagua Ofisi ya Masjala ya Aridhi iliyojengwa na MKURABITA katika Kijiji cha Melela kilichopo Kata ya Melela ,Wilayani humo katika zoezi la urasilimishaji wa Aridhi ya Wananchi.

Katika ziara hiyo ambayo pia ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Halima Okash pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Philipina Philipo,Mh Waziri pia amegawa Hati za Kimila kwa Wananchi wa Kijiji hicho na Maeneo  jirani.

Akizungumza na Wananchi Mhe. Waziri amempongeza Mkuu wa Wilaya na uongozi kwa ujumla Wilayani humo kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa Katika maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya hiyo ukiwamo huu wa jengo la Masjala ya Aridhi.

Pia Mhe. Waziri amewataka wananchi kutumia fursa hiyo ya urasimishaji wa maeneo yao katika Kujiinua Kiuchumi kwani Urasimishaji huo Umeongeza Kwakiasi kikubwa thamani ya Aridhi yao Kutokana na Hatimiliki hizo za Kimila walizopata na Kuwataka Kuzitunza ili ziweze kuwa na tija katika Maendeleo yao Kiuchumi.

Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya hiyo Mh Halima Okash amemshukuru Mh Waziri kwakutenga muda na kuja Wilayani Mvomero Kwaajili ya Kutembelea na Kukagua Shughuli za Maendeleo ikiwa ni Pamoja na Kugawa Hatimiliki za Kimila kwa Wananchi wa Melela.

Matangazo

  • VIGEZO VYA MASHARTI YA ASILIMIA 10 ZA FEDHA YATOKANAYO NA MAPATO YA NDANI September 16, 2022
  • Tangazo la Usaili wa Mahojiano Utakaofanyika 21/10/2021 October 20, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA ANWANI ZA MAKAZI February 18, 2022
  • TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI MFUMO ANWANI ZA MAKAZI March 07, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WANANCHI MVOMERO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

    January 05, 2023
  • Watumishi wa Mvomero wajumuika kufanya usafi Eneo la Hospitali ya Wilaya

    December 07, 2022
  • Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro aagiza Wananchi kuondoka katika eneo la Msitu wa Kuni.

    November 26, 2022
  • Mradi wa Mkaa Endelevu Ulivyobadili Maisha Ya Wananchi Wa Wilaya ya Mvomero

    November 21, 2022
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.