PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KIKAO CHA WADAU WA JUKWAA LA MNYORORO WA CHAKULA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO KILICHOLENGA KUPITISHA RASIMU YA KATIBA KUWA KATIBA RASMI YA JUKWAA HILO PAMOJA NA KUCHAGUA UONGOZI WA KUDUMU WA JUKWAA.
KIKAO HICHO KIMEFANYIKA SEPT. 04, 2024 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO.
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.