• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

HISTORIA YAANDIKWA: WANANCHI WAPATA GARI LA WAGONJWA, WAISHUKURU SERIKALI KUWAONDOLEA ADHA KUSAFIRISHA WAGONJWA WA RUFAA

Posted on: December 16th, 2025

Wananchi wa Kata ya Mziha, Wilaya ya Mvomero, wameandika historia mpya baada ya kupokea gari la wagonjwa (Ambulance) lililotolewa na Serikali, hatua inayokwenda kuwaondolea adha kubwa ya usafirishaji wa wagonjwa wanaohitaji rufaa kwenda vituo vya afya vya ngazi ya juu.


Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi gari hilo, Diwani wa Kata hiyo Mhe. Denis Ezekiel amesema upatikanaji wa gari hilo utaboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika nyakati za dharura ambapo awali walilazimika kuazima gari la wagonjwa kutoka katika kituo cha Afya cha Chazi akiongeza kuwa wakati mwingine gari hilo halikupatikana.


“…kwa kweli hii adha ilikuwa ni kubwa sana tulikuwa tunapata ambulance kutoka Chazi, usiku wa manane tunapiga simu mara nyingine haipatikani lakini leo tunaandika historia mpya yam waka huu kwamba tumepewa ambulance ambayo imeandikwa Kata ya Mziha…” amesema Mhe. Diwani.


Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mziha Bw. Rajab Bakari kwa niaba ya wananchi wa Mziha ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio chao na kuchukua hatua Madhubuti, huku akibainisha kuwa walilazimika kutumia pikipiki kusafirisha wagonjwa, jambo lililoongeza mzigo wa gharama kwa familia maskini. Ameongeza kuwa gari hilo litasaidia kupunguza vifo vya akinamama wajawazito na watoto wachanga ambao wamekuwa katika hatari kubwa ya kupoteza Maisha.


Akizungumza wakati akikabidhi gari hilo kwa wananchi wa Kata hiyo, Mbunge wa Jimbo la Mvomero Mhe. Sarah Msafiri Ally amewataka wasimamizi wa gari hilo kuhakikisha kuwa linatoa huduma iliyokusudiwa na kwamba kila mwananchi ana haki ya kulitumia gari hilo.


Aidha, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho pamoja na fedha za utekelezaji wa mradi wa maji utakao wahudumia wananchi wa Kata hiyo.


Akitoa taarifa ya ujenzi wa kituo hicho, Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt. Alex Mzava amebainisha kuwa Serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 500 ikiwa ni fedha za tozo ambapo imetumika kujenga jengo la wagonjwa wa nje (OPD), Maabar

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 14, 2025
  • MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALIOITWA KWENYE USAILI OKTOBA 17, 2025 October 14, 2025
  • MAJINA YA RESERVE WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WANAOTAKIWA KWENYE USAILI KATIKA KATA October 14, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DC DOTTO AZUIA ENEO LA KIJIJI LILILOUZWA KINYUME NA UTARATIBU, AAGIZA ALIYENUNUA ARUDISHIWE FEDHA ZAKE

    December 18, 2025
  • AHADI YA RAIS SAMIA KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE YAANZA KUTEKELEZWA, WASIMAMIZI VITUO VYA AFYA WAJENGEWA UWEZO KUFANIKISHA

    December 18, 2025
  • DC MVOMERO ATOA SIKU SABA WAFUGAJI WALIOVAMIA SKIMU YA UWAWAKUDA KUONDOLEWA

    December 17, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA: WANANCHI WAPATA GARI LA WAGONJWA, WAISHUKURU SERIKALI KUWAONDOLEA ADHA KUSAFIRISHA WAGONJWA WA RUFAA

    December 16, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.