Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Florent Kyombo akiwa na ujumbe wa wakilishi Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro ambao ndio waliowezesha ujenzi wa ofisi ya kisasa ya Kata ya Kinda. Kanisa lilikabidhi ofisi ya kata pamoja na vifaa mbalimbali ili kurahisisha uendeshaji wa ofisi.
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.