Friday 11th, October 2024
@Vituo vyote vya kutolea huduma za Afya
Kampeni ya utoaji wa Matone ya Vitamini A kwa watoto wenye umri wa miezi 6 hadi miaka 5.
Huduma hii ni bure na inapatikana katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya.
kinga ni bora kuliko tiba
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.