Saturday 15th, February 2025
@Hospitali ya Wilaya
Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia katika Hospitali ya Wilaya ya Mvomero kuanzia tarehe 03 - 07 Juni, 2024.
Huduma zitakazotolewa ni pamoja na:
1. Huduma za Afya kwa watoto na watoto wachanga
2. Huduma za Afya za uzazi, wajawazito na magonjwa ya wanawake
3. Huduma ya magonjwa ya ndani (shinikizo la damu, kisukari n.k)
4. Huduma za upasuaji
5. Huduma za ganzi na usingizi
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.