Mheshimiwa Jenista Mhagama – Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu alipotembelea kiwanda cha kusindika nyama cha Nguru ya Ndege tarehe 23/04/2017.Serikali imeahidi kutoa ushirikiano kwa muwekazaji mzawa ili kuwezesha kiwanda hiki kianze kazi mapema,kiwanda kinatarajiwa kuanza kufanya kazi ndani ya miezi sita (6) kuanzia sasa.
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.