Bi. Ruth Mazengo, Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo
TAARIFA FUPI
Idara ya Kilimo inatekeleza shughuli mbalimbali za kitaalam ikiwa ni pamoja na utoaji huduma za ugani kwa wakulima kwa kuwashauri kufuata kanuni za ukulima bora na wenye tija wa mazao ya aina tofauti Kilimo ni mojawapo ya shughuli muhimu sana za kiuchumi ambazo husaidia wananchi kujiajiri na kuzalisha mazao yake kwa ajili ya chakula na biashara na kujipatia kipato cha kumudu kuendesha maisha yao.
Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero
Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO
Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348
Mobile: +255 23 293 4348
Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.